photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > 51% YA WABUNGE WA TANZANIA HAWANA SHADA (DEGREE)

51% YA WABUNGE WA TANZANIA HAWANA SHADA (DEGREE)

Posted on Aug 18, 2012 | No Comments


 Asalaam,
Katika tafiti nilizofanya kwenye website ya bunge, zaidi ya nusu (50+%) ya wabunge hawana degree. Hii inadhihirisha jinsi gani chombo kikuu cha kutunga sheria na kusimamia serikali hakina wataalamu.
Katika tafiti zangu nimebaini kuwa;
1. Wabunge wengi ni form four graduates na wana poccess certificates za mambo mbalimbali.
2. Wabunge wengi wasio na degree ni wale wa viti maalumu, huku wengi wao wakitokea CCM na CUF.
3. Wabunge wengi watokao visiwani hawana hata deploma.(STASHAHADA) i.e 60%.
MY CONCERN:
HIVI BUNGE LETU LINASIMAMIA SERIKALI AU LINASIMAMIWA NA SERIKALI.
Happy Ramadhan Kareem.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru