photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > ANGALIA VIDEO YA "MTOTO WA KARIAKOO" BY DULLY SKYES

ANGALIA VIDEO YA "MTOTO WA KARIAKOO" BY DULLY SKYES

Posted on Aug 18, 2012 | No Comments

Dully Sykes amerudi tena kwenye kioo chako, this time kadrop new video ya single yenye jina la area aliyokulia ‘Kariakoo’ ! hii video imetoka siku 20 tu baada ya Dully kutangaza Exclusive on Amplifaya ya Clouds Fm kwamba kuanzia sasa atakua anafanya video zake kwa gharama kubwa kidogo za kuanzia milioni 5 mpaka 6.
Alisema hiyo milioni 5 au 6 sio kwamba anamlipa Director bali atakua anatumia pesa nyingi kulipa models, location na mambo mengine yanayohitajika kwenye video lakini kwa watengenezaji wa video atakua analipa milioni moja na nusu mpaka mbili kama ilivyo kawaida yake.
Baada ya hii video mpya, Dully Sykes ambae sio shabiki wa mpira wa miguu ameahidi kutoa video ya single yake nyingine ya gharama zaidi ambayo anashoot na helikopta, boti na vitu vingine vya gharama zaidi.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru