photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > BONDIA FRANCIS CHEKA NI KATI YA MABONDIA 15 BORA DUNIANI, IBF..

BONDIA FRANCIS CHEKA NI KATI YA MABONDIA 15 BORA DUNIANI, IBF..

Posted on Aug 13, 2012 | No Comments

Francis Cheka.
Bondia Francis Cheka ameingia katika orodha ya mabondia 15 bora duniani wanaotambuliwa na IBF. Hii inaamanisha Cheka anaweza kugombea ubingwa wa super middle na mabondia toka nchi mbalimbali na kuwa bingwa wa dunia. Ni matumaini yetu atafanya kweli na kuwa bingwa wa dunia wa IBF.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru