photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > DKT. ULIMBOKA KUWEKA WAZI YALIYOMTOKEA BAADA YA SIKU 40.

DKT. ULIMBOKA KUWEKA WAZI YALIYOMTOKEA BAADA YA SIKU 40.

Posted on Aug 15, 2012 | No Comments


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania Dkt. Stephen Ulimboka (pichani) amesema anatarajia kuanika madudu ya watu waliomteka na kumfanyia vitendo vya kinyama, baada ya kufanyia uchambuzi wa kina mkasa uliomkumba.
 Dkt. Ulimboka amesema ataanika madudu yote aliyofanyiwa baada ya siku 40.
Dkt. Ulimboka, aliyerejea kutoka nchini Afrika Kusini, alikokuwa amekwenda kutibiwa, amesema ana siri nzito moyoni ambayo akiitoa, Watanzania watamuelewa tu.
Amesema baada ya kurudi nyumbani salama, hivi sasa amejikita zaidi kufanya uchambuzi wa mambo au matukio yaliyomsibu kabla ya kupelekwa Afrika Kusini ili ukweli ujulikane.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru