photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA AWAMU YA TATU YA TASAF

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA AWAMU YA TATU YA TASAF

Posted on Aug 15, 2012 | No Comments

 Dr. Jakaya Kikwete akisikiliza kwa kina maelezo kutoka kwa mwakilishi wa TASAF katika mabanda ya TASAF,katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
 Dr. Jakaya Kikwete akipewa maelzo ya zulia katika mabanda ya TASAF,katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
 Dr. Jakaya Kikwete akipewa maelezo ya bidhaa kutoka Unguja katika mabanda ya TASAF,katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.
Dr. Jakaya Kikwete akikagua mabanda ya TASAF, akiongozana na spika wa bunge la Tanzania,Mama Anne Makinda,katika uzinduzi wa awamu ya tatu ya TASAF yenye kauli mbio “Mpango wa Kunusuru kaya maskini zilizo katika mazingira hatarishi” Jijini Dodoma leo.Kwa Picha zaidi Moja kwa Moja Kutoka Dodoma

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru