photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > IJUE MIGOGORO 10 AMBAYO INAIWEKA CCM HATARINI UCHANGUZI 2015.

IJUE MIGOGORO 10 AMBAYO INAIWEKA CCM HATARINI UCHANGUZI 2015.

Posted on Aug 21, 2012 | No Comments


Mimi nikiwa kama mwanachi na mpenzi wa ccm.....migogoro hii isiposuluhishwa mapema inaweza kusababisha ccm kuondolewa madakakani uchaguzi mkuu 2015 kama ifuatavyo

1.mgogoro kati ya walimu na serikali
2.mgogoro kati ya madaktari na serikali
3.mgogoro kati ya waisilamu na serikali juu ya balaza la mitihani
4.mgogoro kati ya waisilamu na serikali juu ya mahakama ya kadhi
5.mgogoro kati ya waisilamu na serikali juu ya sensaa
6.mgogoro kati ya makarani wa sensa na serikali kuhusu posho za sensa
7.mgogoro kati ya wakazi wa kigamboni na serikali kuhusu kuondolewa wa wachimbaji wadogo
8.mgogoro kati ya wakurya na serikali kuhusu mgodi wa north mara
9.mgogoro kati ya serikali na wanafunzi wa elimu ya juu kuhusu bodi ya mikopo
10.mgogoro kati ya walionacho na wasiokuwa nacho........

Sasa baada ya hapo unaweza kuongezea za kwako unazozifahamu........hiyo migogoro

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru