photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > KUMPA PESA/ ZAWADI MWANAMKE BAADA YA TUKIO.. HII IMEKAAJE?..

KUMPA PESA/ ZAWADI MWANAMKE BAADA YA TUKIO.. HII IMEKAAJE?..

Posted on Aug 24, 2012 | No Comments


Siku moja nilikuta rafiki zangu wawili wa kike wanasimuliana, kwa kuwa wamenizoea uwa wanatia tu stori hata yaliyojiri kwenye sita kwa sita, sasa haya mazungumzo yao yakanifanya niwaze mara mbili mbili japo mimi personally haijawai nitokea,

Mazungumzo yalikuwa ni kwamba: msichana mmoja alikuwa anamlaumu mwenzie kwa nini amekubali tu kutumiwa na mtu wake kisha kamuacha ivyo ivyo hata hela ya sabuni hajamiachia... kha? nikawaza nani anayestahili kupewa kifuta jasho kati ya wawili mwanaume au mwanamke? je kila baada ya mechi lazima mtu aachiwe chochote? mfano mimi tangu nilivyompata huyu CL mechi ni wakati wowote nafasi itakapopatikana..sasa nawaza kama ni kumtoa hela si ntabaki kapuku...kwa mtazamo wangu nilijua hilo jambo ni burudani kwa wote wawili, sio mmoja kumtumia mwenzie

Hebu nipeni mitazamo yenu wanajamvi

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru