TETESI ZA MKURUNGEZI WA TRA KITILYA KUPELEKWA TANESCO..
Posted on
Aug 24, 2012
|
No Comments

Taarifa za hapa Dar mchana huu zinasema kuwa KITILYA wa TRA anaweza kupelekwa TRA kuokoa jahazi la TANESCO lisizame
Swali; Je Kitilya anafaa au hafai kupelekwa Tanesco?
Swali; Je Kitilya anafaa au hafai kupelekwa Tanesco?
Sababu ni zipi?