MAHAKAMA YATENGUA UBUNGE WA PETER KAFUMU IGUNGA
Posted on
Aug 21, 2012
|
No Comments
Mahakama kuu ya Tanzania imetengua matokeo ya ubunge wa mbunge wa jimbo mla Igunga Mh. Dalaly Peter Kafumu ambaye alichukua nafasi hiyo baada ya mbunge wa zamani wa jimbo hilo Rostam Azizi Kujiuzulu, taarifa zaidi kuhusiana na hukumu hiyo zitawajia baadae kupitia hapahapa
rchugga.blogspot.com