photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MKUTANO WA TISA WA SULLIVAN WAMALIZIKA JIJINI MALABO, EQUATORIAL GUINEA

MKUTANO WA TISA WA SULLIVAN WAMALIZIKA JIJINI MALABO, EQUATORIAL GUINEA

Posted on Aug 24, 2012 | No Comments

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) akijadiliana jambo na Balozi Carlton Masters (kati) kutoka Marekani ambaye ni mmoja wa wanahisa wa Hoteli ya Kitalii ya Mount Meru ya jijini Arusha katika Mkutano wa Tisa wa Sullivan uliomalizika jana jijini Malabo, Equatorial Guinea. Kushoto ni Seneta Paul Millen kutoka nchini Jamaica.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kushoto) akiwa na Waziri Mkuu wa Swaziland Sibusiso Dlamini  wakifuatilia kwa pamoja hotuba ya ufungaji wa Mkutano wa Tisa wa Sullivan iliyotolewa na Rais wa Jmhuri ya Equatorial Guinea Mhe. Obiang Mbasogo jijini Malabo, Equatorial Guinea

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru