MOVIE REVIEW; THE RETURN OF J.LO..
Posted on
Aug 24, 2012
|
No Comments

Mwezi ujao kuna movie mpya inaingia sokoni. Inaitwa The Return of JLO.
Kwenye filamu hiyo Sintah ndo main character ambapo wengine watakaonekana ni Chalz Baba, Beny Kinyaiya, Monalisa, Nyoshi El-sadat na wengine.
Filamu hiyo imeandikwa na kuongozwa na Selles Mapunda wa Steps Entertainment.