photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > POLISI AFRIKA KUSINI YAUA WATU 30 KATIKA VURUGU ZA MGODI WA MARAKANA

POLISI AFRIKA KUSINI YAUA WATU 30 KATIKA VURUGU ZA MGODI WA MARAKANA

Posted on Aug 17, 2012 | No Comments


Takriban watu 30 wameuawa nchini Afrika Kusini baada ya polisi kupambana na kundi la waandamanaji wanaogoma ambao ni wafanyakazi wa mgodi wa Marikana.
Kwa mujibu wa mashuhuda, polisi walifyatua risasi kwa waandamani hao waliokuwa wamebeba marungu na mapanga.
Mgodi huo wa Platnum unaomilikiwa na Lonmin umekuwa kitovu cha vurugu za malipo, uliochochewa na mvutano baina ya vyama viwili vya wafanyakazi.
Vurugu zilizokuwa zikiendelea wakati wa mgomo huo zilisha sababisha vifo vyatu 10.
Tukio hilo la polisi kumwaga damu za wananchi ni kubwa tangu kumalizika kwa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru