RAIS KIKWETE AWASILI JIJINI KAMAPALA, UGANDA LEO
Posted on
Aug 7, 2012
|
No Comments
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe,Uganda tayari kuhudhuria mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu unaofanyika katika Hoteli ya Speke's Bay, Munyonyo jijini Kampala, Uganda