photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TASWIRA MBALIMBALI ZA ZOEZI LA UREJESHAJI FOMU KWA WAGOMBEA NA NAFASI MBALIMBALI ZA UVCCM

TASWIRA MBALIMBALI ZA ZOEZI LA UREJESHAJI FOMU KWA WAGOMBEA NA NAFASI MBALIMBALI ZA UVCCM

Posted on Aug 7, 2012 | No Comments

 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dodoma, Antony Mavunde akirejesha fomu za kugombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa Mkuu wa Idara ya Siasa Oganizesheni ya UVCCM Taifa, Sophia Duma. Zoezi la urejeshaji fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za UVCCM ulitaraji kufikia tamati jana jioni kwa wagombea wote kutakiwa kutejesha fomu zao.
 Lulu Abas Mtemvu nae alirejesha fomu zake za kuwania Ujumbe wa NEC kupitia UVCCM
  Daniel Zenda aki akirejesha fomu za kugombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa Mkuu wa Idara ya Siasa Oganizesheni ya UVCCM Taifa, Sophia Duma.
 Mmoja wa wagombea wa nafasi za ujumbe wa NEC akirejesha fomu
  Innocent Meleck nae alikuwa ni mmoja wa wagombea wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti waliorejesha fomu za kugombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa Mkuu wa Idara ya Siasa Oganizesheni ya UVCCM Taifa, Sophia Duma.
Mgombea wa Nafasi ya Uenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mwanaamina Haji Mbarouk akipiga picha na Mgombea wa Nafasi ya Umakamu Mwenyekiti, ambaye pia ni Mwenyekiti wa UVVCCM Dodoma, Antony Mavunde.
Baadhi ya wagombea wakiwa katika mazungumzo baada ya kurejesha fomu zao katika Ofisi za UVCCM  Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru