RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI SHEIN AKUTANA NA MWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA KATIKA UMOJA WA MATAIFA (UN)
Posted on
Aug 26, 2012
|
No Comments
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Tuvuko Manongi,mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekeni,(kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais jana na katikati Naibu wake Balozi Ramadhan Muombwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Tuvuko Manongi,mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekeni,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais (kushoto) ni Naibu wake Balozi Ramadhan Muombwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Balozi Tuvuko Manongi,Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Nchini Marekeni,(kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais, katikati ni Naibu Balozi Ramadhan Muombwa.Picha na Ramadhna Othman,Ikulu-Zanzibar