Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie (kushoto) wa Uholanzi akishikilia jezi Na.20 na kocha Alex Ferguson kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United.
Mchezaji mpya wa Manchester United, Robin van Persie wa Uholanzi akishikilia jezi jirani la nembo ya Manchester United baada kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo Agosti 17, 2012. Van Persie amesaini mkataba wa miaka minne na Man United. Picha: REUTERS