RAIS JAKAYA KIKWETE AELEKEA MSUMBIJI KUHUDHURIA MKUTANO WA SADC JIJINI MAPUTO
Posted on
Aug 17, 2012
|
No Comments
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali aliyemsindikiza katika uwanja wa ndege wa ,kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana Agosti 16, 2012 muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema katika uwanja wa ndege wa ,kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana Agosti 16, 2012 muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo.Picha na IKULU