photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TASWIRA YA SIKUKUU YA IDD EL FITRI BAADA YA KUMALIZIKA KWA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN MKOA WA MOROGORO

TASWIRA YA SIKUKUU YA IDD EL FITRI BAADA YA KUMALIZIKA KWA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN MKOA WA MOROGORO

Posted on Aug 19, 2012 | No Comments


 Mtoto Yaaqub Nahdi Aref (2) akiwa katika sala ya Idd el Fitri na waumini wa dini ya kiislam inayosaliwa kufuatia kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani ambapo waumini wa dini ya kiislam wanaungana na waislam wenzao duniani kote kusherehea sherehe za sikukuu hiyo hapa nchini iliyofanyika kwenye viwanja vya The Islamic Foundation kata ya Boma mkabara na hoteli ya Hilux Manispaa ya Morogoro.
 Viongozi wa juu wa taasisi ya Islamic Foundation wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Aref Nahd kulia aliye na mtoto Yaaqub Nahdi Aref (2) wakifurahia jambo mara baada ya kumalizika kwa sala ya Idd El Fitri, kushoto mbele ni Meneja wa redio Iman, Mohamed Matano.
 Mwenyekiti wa Taasisi ya Islamic Foundation Morogoro Nahdi Arefakiwa na mtoto wake Yaaqub Nahdi Aref (2) akijieleza jambo kwa Jafari Mponda kuliawakati Mwenyekiti huyu akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa sala ya Idd el Fitri
 Waumini wakifuatalia hutuba ya idd el fitri ilikuwa ikitolewa na Shekhe Juma Mohamed Amiri katika viwanja hivyo vya Hilux
Waumini wa dini ya kiislam wanawake nao wakiwa katika sehemu maalum huku wakifuatilia hutuba hiyo.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru