UZINDUZI WA TAWI LA CHADEMA HOUSTON TEXAS AGOSTI 25 MWAKA HUU.
Posted on
Aug 15, 2012
|
No Comments
Tunapenda kutoa habari hizi kwa waTanzania wote na wapenda maendeleo, Siku ya Jumamosi Aug 25 kutakuwa na ufunguzi rasmi wa tawi la chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Jijini Houston Texas Nchini Marekani
Wageni rasmi wa ufunguzi wa tawi hilo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Jodeph Mbilinyi (Mr. 2/Sugu)
Sherehe za ufunguzi wa tawi hilo zitaanza mida ya saa 5:PM (Jioni).