WIZARA YA FEDHA YAOMBA MKOPO BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA AfDB
Posted on
Aug 21, 2012
|
No Comments
.jpg)
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi.
WIZARA ya Fedha, imewasilisha ombi la Mkopo Benki ya Maendeleo Afrika
(AfDB) kwa niaba ya Jumuiya ya Afya ya Ukanda wa Mashariki, Kati na
Kusini mwa Afrika (ECSA-HC) ya kuwa na Kituo cha Afya kinachotarajiwa
kujengwa jijini Arusha.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi, alisema hayo
wakati akifungua mkutano wa sita wa Best Practices Forum and the 22
Directors’ Joint Consultative Meeting, uliofanyika jijini hapa.
Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya
Binadamu (NIMR) Dk. Mwele Malecela, ndiye aliyefungua mkutano huo kwa
niaba ya Waziri Dk. Mwinyi.

Alisema ujenzi wa kituo hicho umepangwa kujengwa eneo la Engare
Olmotonyi, nje kidogo ya jiji la Arusha, katika eneo la hekari 30
litakalotolewa na serikali.

“ Tanzania inafanyakazi na Jumuiya ya Afya ya ECSA ili
kuhakikisha utekelezaji wa ndoto ya muda mrefu ya kuanzisha kituo cha
afya cha kisasa cha kanda, ambacho kitakuwa na mambo mengi kama vile
Chuo cha Sayansi ya Afya ambacho kwa kiasi kikubwa kitaongeza nguvu
kuzalishwa watalaam,” alisema.

Aidha akizungumza na waanhishi wa habari kwa mahojiano zaidi Dk.
Malecela alisema
ni muhimu kwa nchi za Ukanda huo kubadilishana mawazo na uzoefu wa
namna wanazoshughulikia
suala la afya la uzazi na mtoto.
Alisema wajumbe watapata kuelewa namna nchi zingine zinavyotekeleza
suala la afya la mama na mtoto na kwa upande wa lishe bora.

Alisema mapendekezo ya mtakutano huo yatapelekwa kwa Baraza la
Mawaziri kwa utekelezaji na kuangalia namna ya kuongeza nguvu katika
upambana na magonjwa na suala muhimu ya raslimali watu katika sekta ya
afya.