CHUO KIKUU HURIA CHATIMIZA MIAKA 20
Posted on
Sep 9, 2012
|
No Comments
Waziri mkuu msitaafu wa jamuhuri yamuungano wa Tanzania Frederick Sumaye akitoa hotuba wakati wa muhadhara wa kujadili changamoto za umasikini ilioandaliwa na Chuo kikuu huria Tanzania ulliofanyika ukumbi wa mikutano wa chuo hicho jiji Dar es salaam jana muhadhara umeenda sambamba miaka 20 ya chuo hicho
Baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho wakiwa katika muhadhara huo wa kujadil changamoto za umasikini
Makamu mkuu wa chuo hicho profesa Profesa Tolly Mbwete akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa muhadhara huo