HII NDIO KAULI YA ALEX FERGUSON JUU YA UJIO WA USAIN BOLT MAN UNITED..
Posted on
Sep 6, 2012
|
No Comments
Kwa mujibu wa habari zilizochapishwa ndani ya jarida la Inside United, ndoto za mwanariadha bora duniani kwa mita 100 na 200, Usain Bolt zaelekea kutimia.
Akizungumza na jarida hilo kocha wa Man United Sir Alex Ferguson, alidhibitisha msimamo wa mwanariadha huyo kuichezea Man United katika mchezo wa hisani hapo mwakani na kuahadi uwezekano wa kumpa nafasi ili kutizama uwezo wake.
Usain Bolt pia mshabiki mkubwa wa Man United.