photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > YAMEISHIA WAPI HAYA, RICHMOND, EPA, ULIMBOKA....

YAMEISHIA WAPI HAYA, RICHMOND, EPA, ULIMBOKA....

Posted on Sep 6, 2012 | No Comments




Na Gabriel Ulomi.
Tumesikia mengi sana maovu ya nchi yetu lakini yamekuwa yakiisha bila watanzania kufahamu yameishaje, mfano: zile pesa za richmond, epa, kusafirishwa kwa wanyama nje ya nchi, kuteswa kwa dr ulimboka, na mambo mengine mengi ambayo tungependa tusikie muendelezo wake ila haiko hivyo.

Rai yangu kwa waandishi wa habari tunaomba sasa iwe basi jamani tupatieni mwendelezo wa habari hizi binafsi napenda nipate mwendelezo wa dr ulimboka na hili la marehemu Daudi mwangosi, mpaka yatakapoishia

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru