photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > KAMPUNI YA BIA YA TBL YAKABIDHI FIFAA VYA MICHEZO KWA SIMBA NA YANGA

KAMPUNI YA BIA YA TBL YAKABIDHI FIFAA VYA MICHEZO KWA SIMBA NA YANGA

Posted on Sep 5, 2012 | No Comments

 
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (wa pili kushoto), akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Louis Sendeu (kushoto) na akamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ , ikiwa ni sehemu ya udhamini wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji hicho kwa Klabu za Simba na Yanga, katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi ya TFF, jijini Dar es Salaam jana. Wa (pili kulia) ni Mkurugenzi wa Mashindano wa TFF, Saad Kawemba. PICHA ZOTE/DAILY MITIKASI BLOG
Msemajimaji wa Klabu ya Yanga, Louis Sendeu (kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ (kulia) wakionyesha kwa waandishi wa habari baadhi ya vifaa vya michezo baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (wa pili kushoto), ikiwa ni sehemu ya udhamini wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji hicho kwa Klabu za Simba na Yanga, katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi ya TFF, jijini Dar es Salaam jana. Wa (pili kulia) ni na Mkurugenzi wa Mashindano wa TFF, Saad Kawemba.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru