WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI WATAKIWA KUUNDA VYAMA VYA KUWAUNGANISHA.
Posted on
Sep 5, 2012
|
No Comments
Pichani Juu na Chini ni baadhi ya wadau wa mkutano wa Sekta za Madini, Mafuta na Gasi uliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Profesa Chris Peter Maina akitoa hoja.
Kamishna wa Madini nchini Ally Samaje.
Kamishna wa Madini nchini Ally Samaje amewataka wachimbaji wadogo wadogo wa madini kuunda vyama vitawavyoweza kuwaunganisha.
Samaje amesema hayo wakati akifungua mkutano wa Sekta za Madini, Mafuta na Gasi uliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Amesema vikundi watakavyounda vitawasaidia wao kupatiwa msaada wa fedha pale inapobidi.
Hata hivyo amewataka wadau mbalimbali na taasisi za fedha kusaidia na kuungana na serikali kwa lengo la kuwaendeleza wachimbaji hao wadogo wadogo.