photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > GATI YA MAJAHAZI BANDARI YA MALINDI YAHITAJI UKARABATI

GATI YA MAJAHAZI BANDARI YA MALINDI YAHITAJI UKARABATI

Posted on Oct 8, 2012 | No Comments

Hali ya kingo katika bandari ya Malindi Mjini Zanzibar katika eneo la boti za uvuvi na majahazi lipo katika hali mbaya kutokana na kingo za bandari hiyo kubomoka na kuharibika kabisa jambo ambalo linaweza kuleta mmomonyoko wa udongo kama patatokea mawimbi makubwa ‘sunami’ katika bahari ya hindi. Ni vyema Mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kulifanyia ukarabati eneo hilo.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru