photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > KWA MSHANGAO WA WENGI BINTI WA WHITNEY HOUSTON ‘BOBBI KRISTINA BROWN’ AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA KAKA YAKE WA KUFIKIA.

KWA MSHANGAO WA WENGI BINTI WA WHITNEY HOUSTON ‘BOBBI KRISTINA BROWN’ AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA KAKA YAKE WA KUFIKIA.

Posted on Oct 12, 2012 | No Comments

 Mwezi wa nane mwaka huu binti wa aliyekuwa mwanamuziki maarufu duniani Whitney Houston anayekwenda kwa jina la Bobbi Kristina Brown alivishwa pete na kaka yake wa kufikia Nick Gordon.
Pete hiyo yenye kito cha madini ya ‘sapphire’ kilichozungukwa na chembe za almasi iliyowekwa kidoleni kwa binti huyo, wadaku wameitafsiri kama alama ya uchumba japokuwa wawili hao wamekana wakisema ilikuwa ni zawadi tu.
Hata hivyo kipande cha kipindi cha mahojiano cha luninga alichorekodiwa binti huyo mwenye umri wa miaka 19 kinachoitwa The Houstons: On Our Own kidaiwa kuthibitisha kuwa binti huyo anachumbiwa na Gordon.
Nick Gordon kijana mwenye miaka 22 amelelewa na hayati Whitney Houston kama mwanae, hivyo ni sawa na kuwa kaka wa Bobbi Kristina Brown ambaye ghafla baada ya kifo cha mwanamuziki huyo wameonyesha kupendana.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru