MSHINDI WA MISS REDDS ORIGINAL 2012 KULAMBA BINGO YA SHILINGI MILIONI 8 ZA KITANZANIA.
Posted on
Oct 23, 2012
|
No Comments
Meneja wa Kinywaji cha Redds Original Bi. Victoria
Kimaro (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza
rasmi zawadi kwa washindi wa Fainali za Redds Miss TZ 2012 mashindano
yatakayofanyika tarehe 3 Novemba 2012 katika Ukumbi wa Hoteli ya Blue
Pearl (Ubungo Plaza) jijini Dar es Salaam yatakayo shirikisha warembo 30
kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania. Kulia ni Mkuu wa Itifaki Kamati ya
Miss Tanzania Bw. Albert Makoye.