>
KUTOKA VYUONI
>
NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO UDOM
NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO UDOM
Posted on
Oct 25, 2012
|
Meneja
wa NMB Kanda ya Kati Bi. Lilian Mwinula ( wa pili kulia) akikabidhi
vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa
ajili ya bonanza kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Dodoma Prof. Idris Kikula
mkoani Dodoma. Akiangalia (kulia) ni Meneja NMB UDOM Bw. Alex Mpagama.
Meneja
wa NMB Kanda ya Kati Bi. Lilian Mwinula (katikati) akikabidhi vifaa
mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa ajili
ya Bonanza kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Dodoma Prof. Idris Kikula mkoani
Dodoma. Akiangalia (kulia) ni Meneja NMB UDOM Bw. Alex Mpagama