photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > VIONGOZI WA UAMSHO WARUDISHWA TENA RUMANDE.

VIONGOZI WA UAMSHO WARUDISHWA TENA RUMANDE.

Posted on Oct 25, 2012 | No Comments

 Mawakili wa Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Abdallah Juma kushoto na Salim Tawfik wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu kujitoa kwao siku ya leo katika kesi hiyo kutokana na usmbufu wanaofanyiwa wateja wao wa kuhawangaishwa na kukosa kupelekwa Mahakama ya Kwerekwe kwa muda muafa..Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Kiongozi wa Jumuiya ya UAMSHO Sheikh Farid Hadi Ahmed kushoto akiwa na wenzake sita walioletwa Mahakama kuu Zanzibar Vuga wakiwa hawana ndevu na kufunguliwa mashtaka manne mapya mahakamani hapo yakiwemo kuharibu mali za watu zenye thamani ya Shl.Milioni 50 na kufanya vurugu za makusudi zakuhatarisha amani katika nchi…Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Baadhi ya Askari wa kutuliza fujo wakiwa Mahakama kuu Zanzibar Vuga kwa lengo la kutuliza amani Mahakamani hapo.(Picha na MakameMshenga-Maelezo Zanzibar).
Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO wakiwa wanatoka katika Mahakama Kuu ya Zanzibar Vuga baada ya kufunguliwa mashtaka manne mapya.
 

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru