photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > SERIKALI YAWATAKA WAHITIMU NBAA KUTUMIA ELIMU YAO KWA MANUFAA YA TAIFA.

SERIKALI YAWATAKA WAHITIMU NBAA KUTUMIA ELIMU YAO KWA MANUFAA YA TAIFA.

Posted on Oct 9, 2012 | No Comments

Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 34 ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) Naibu Waziri wa Fedha Mh. Janet Mbene (Mb) akitoa hotuba ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza masuala ya  nidhamu katika kutumia na kusimamia rasilimali za nchi.
Baadhi ya wahitimu wa Shahada ya Juu ya NBAA.
 Mdau Chrespo Hezron (kulia) akipongezwa na mkewe Zai baada ya kuhitimu shahada ya juu ya NBAA wakati wa mahafali ya 34 ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru