photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TOM SAINTFIET ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA AWA KOCHA WA YEMEN.

TOM SAINTFIET ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA AWA KOCHA WA YEMEN.

Posted on Oct 10, 2012 | No Comments

Siku chache baada ya kutimuliwa Yanga, Mbelgiji Tom Saintfiet amepata ulaji wa kuifundisha timu ya Taifa ya Yemen. Sainfiet alieifundisha Yanga kwa siku 80 atakumbukwa kwa rekodi yake ya kushinda michezo 14 na kupoteza 2 tu huku akiwaachia taji la Afrika Mashariki na Kati katika Kombe la Kagame. Bila shaka mashabiki wote wa Yanga watamtakia kila la heri katika kazi yake mpya.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru