photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MKURUNGEZI WA MSD YUKO KAZINI MPAKA SASA???...

MKURUNGEZI WA MSD YUKO KAZINI MPAKA SASA???...

Posted on Oct 10, 2012 | No Comments

Na Gabriel Ulomi.
Sakata la ARV feki limeendelea huku serikali ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote kwa viongozi husika. Mkurungezi mkuu wa bohari, bwana Joseph Mgaya, mkaguzi wa bohari na kiwanda husika wote walitakiwa wachukuliwe hatua za haraka. Tukio kama hili china tungekuwa tunaongelea kauli nyingine sahivi. Tunaomba serikali iwajibishe wahusika punde iwezekanavyo kwani maisha ya binadamu ni kitu cha msingi.

                                                                            Tafakari.. 

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru