photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > WAZIRI MAGUFULI KUZINDUA JENGO LA TBA DODOMA JANA

WAZIRI MAGUFULI KUZINDUA JENGO LA TBA DODOMA JANA

Posted on Oct 10, 2012 | No Comments

Wizara ya Ujenzi inapenda kuutarifu Umma kuwa leo Alhamisi ya tarehe 11/10/2012, Waziri wa Ujenzi atakuwa Mgeni Rasmi katika sherehe ya kuweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi linalojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania, Dodoma.
Sherehe za uwekaji jiwe la msingi zitafanyika eneo la Mpwapwa Flats, Mtaa wa Moshi kuanzia saa mbili asubuhi leo
Viongozi wa Serikali Mkoani Dodoma pamoja na Taasisi mbali mbali pia watashiriki katika sherehe hizo.
Mradi huu wa jengo la ofisi ni mwendelezo wa azma ya Serikali kupitia Wakala wa Majengo nchini wa kujenga majengo kwa ajili ya kupangishia shughuli za ofisi.
Taarifa hii imetolewa na;-
Balozi Herbert Mrango
KATIBU MKUU.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru