photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > ATI WAZUNGU HAWACHEAT KAMA WAAFRIKA.. KASEMA DADA WA KIBONGO

ATI WAZUNGU HAWACHEAT KAMA WAAFRIKA.. KASEMA DADA WA KIBONGO

Posted on Nov 11, 2012 | No Comments


Mwenyewe anasema anataka kutoka na mzungu sasa kwani wabongo/waafrika siyo waaminifu. Anasema ati wazungu wao hawacheat kama Waafrika na kuwa "wakikupenda wamekupenda kweli". Akatolea mfano wa rafiki zake x na y na z ambao nao walijirengesha kwa wazungu maeneo fulani jijini Dar na sasa wawili kati yao wameolewa na wazungu (sijui ni wazungu wa nchi gani).

Na yeye kasema wakati wake umefika na anataka kuona anaweza vipi kuunganishwa na "mtasha" mmoja ambaye ni muoaji ili na yeye hatimaye atulie na kuachana na "vinuko mkono" (maneno yake siyo yangu). Hiii imani inatokana na nini hasa na kuna ukweli ndani yake?

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru