CHELSEA YAITOA MAN-U CAPITAL CUP, WATCH THE GAME HERE.
Posted on
Nov 1, 2012
|
No Comments
Chelsea
imefanikiwa kuitoa Man U katika kuwania kombe la Capital One na kufuzu
kucheza hatua ya nusu fainali dhidi ya Leeds United
Katika mchezo
huo wa raundi ya nne Chealse ilionesha upiganaji wakweli baada ya
kusawazisha magoli kila Man U walipokuwa wakitangulia kwa mfululizo wa
1-0, 2-1 na 3-2 na baadae kushinda kwa 5-4 wakati wa muda wa nyongeza.