photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > HUYU NDIYO MLINZI WA OBAMA ALIEJIUWA MAREKANI

HUYU NDIYO MLINZI WA OBAMA ALIEJIUWA MAREKANI

Posted on Nov 4, 2012 | No Comments

Polisi sasa wanachunguza kuhusu kifo chake cha afisa mmoja wa Usalama wa Taifa nchini Marekani aliyejiua, afisa huyo aliyepewa jukumu la kumlinda Rais Barack Obama.
 Kwa mujibu wa kituo cha televisheni CNN, afisa huyo aliyetambuliwa kwa jina la Rafael Prieto alikuwa akichunguzwa kwa kutokumuarifu mwajiri wake, juu ya mahusiano yake na mwanamke mmoja wa Kimexico.
 Kwa mujibu wa kanuni za kazi, taarifa zote kama hizo hupaswa kuripotiwa ofisini, katika kuhakikisha kwamba usalama wa taifa haungii hatarini. Kabla ya kujiua Prieto alikuwa ametumikia Idara ya Usalama wa Taifa ya Marekani kwa miaka 20.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru