photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > KWA MLIOAMINI MGAO WA UMEME UMERUDI, HII STORI INAWAHUSU.

KWA MLIOAMINI MGAO WA UMEME UMERUDI, HII STORI INAWAHUSU.

Posted on Nov 12, 2012 | No Comments

TANESCO
Hili ndio jibu kutoka kwa BADRA MASOUD afisa uhusiano kutoka TANESCO ambae namkariri akisema “tatizo la gesi kutoka katika kisiwa cha songosongo Lindi ndio chanzo hivyo baadhi ya maeneo yatayoathirika na hitilafu hiyo ni mkoa wa Dar es salaam lakini hakuna mgao wa umeme kama inavyozungumziwa na watu mbalimbali ni hitilafu ambayo mafundi wanaifanyia kazi”

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru