photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MKURUGENZI WA CIA AJIUZULU KUFUATIA KUWA NA MAHUSIANO NJE YA NDOA.

MKURUGENZI WA CIA AJIUZULU KUFUATIA KUWA NA MAHUSIANO NJE YA NDOA.

Posted on Nov 11, 2012 | No Comments

Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA David Petraeus (pichani) amejiuzulu nafasi hiyo.
Katika taarifa yake kwa maafisa wa CIA, Mkuu huyo waIidara  ya Upepelezi wa Marekani amekiri kuwa na mahusiano nje ya ndoa yake, na kukielezea kitendo chake hicho kama kisichokubalika kwa kiongozi wa upelelezi.
Katika tamko lake Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa amakebali kujiuzulu huko na kusema kuwa Petraeus ni mmoja kati ya maafisa bora wakuu wa kizazi hiki.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru