RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA UJENZI WA JUMBA LA MIKUTANO NA MAKAO MAKUU YA CCM NA KITEGA UCHUMI MJINI DODOMA LEO.
Posted on
Nov 12, 2012
|
No Comments
Michoro ya majengo ya Ukumbi,Ofisi za Makao makuu na Hotel ya nyota tano vya CCM yalioanzwa kujengwa mjini Dodoma.
Muonekano kwa mbali.
Mchoro wa jengo la hoteli ya nyota tano.
Rais wa
Zanzibar akiwasili eneo la Makulu mjini Dodoma kwenye sherehe za uwekaji
wa jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za makao makuu ya CCM, Ukumbi wa
Mikutano na Hotel ya Hadhi ya nyota tano leo.
Mwenyekiti wa CCM Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la
msingi la ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Chama,Ukumbi wa Mikutano na
Hotel za Hadhi ya Nyota Tano katika eneo la Makulu Dodoma leo.(Picha na
IKULU).