photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > SAD NEWS; MWANAFUNZI WA MUCCOBS AJINYONGA

SAD NEWS; MWANAFUNZI WA MUCCOBS AJINYONGA

Posted on Nov 12, 2012 | No Comments


SAD NEWS: "Kutoka Chuo kikuu kishiriki cha ushirika
na stadi za biashara Moshi (MUCCoBS)...Mwanafunzi
mwaka wa tatu BA-MFED (microfinance and
enterprises management) Samson Mbena, aka Sam
Timbe kutoka Mbeya city amefariki dunia baada ya
kujinyonga siri kubwa yatawala kifo chake........
RIP Sam" Poleni SANA.... 

Source: JamiiForum.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru