WANAWAKE MSIBOMOE NDOA/NYUMBA ZENU KWA STYLE HII..
Posted on
Nov 12, 2012
|
No Comments
Wana Jamii Press habari zenu?
Naomba tujadili jambo hili. Katika
pitapita zangu kwenye kutafuta mkate wa kila siku nimekuwa nikiktana baadhi
ya wanaume wanalalamika kuwa kwao tendo la ndoa limekuwa janga la kitaifa! Eti
utakuta mke akeshabeba mimba ukifika mwezi wa 7 hataki tena tendo la ndoa na
akishajifungua eitha kwa njia ya kawaida au kwa operation ndo basi tena. Hapo
eti zaidi ya miezi 2 itapita kwa kusema eti daktari kasema. Hivyo mwanaume
atakosa haki hiyo takriban miezi 4 na kuendelea. Wanaume hawa baadhi yao walikuwa
wanafikiria kusaliti ndoa zao japo mara2 kwa mwezi kwa kudhani labda baadhi yao
wanafanya makusudi au hawajui wajibu wao katika ndoa.
Je, me nauliza maswali
yafuatayo..
Ni muda gani sahihi mwanamke mwenye mimba kuacha kufanya mapenzi?
Na akishajifungua
kwa njia ya kawaida/operation ni muda gan sahihi anapaswa asianze kufanya
mapenz?