photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > STORI KUTOKA BUNGENI, WALIOSIMAMISHWA KAZI MSD, PIA KUHUSU UHABA WA MAFUTA.

STORI KUTOKA BUNGENI, WALIOSIMAMISHWA KAZI MSD, PIA KUHUSU UHABA WA MAFUTA.

Posted on Nov 5, 2012 | No Comments

Kuhusu ishu ya dawa feki za ARV Naibu Waziri wa Afya na ustawi wa jamii Dr  Seif Suleiman Rashid amesema uchunguzi umeonyesha kwamba hizo dawa zilipokelewa na bohari kuu ya dawa (MSD) kutoka kiwanda cha Tanzania Phamacetical (TPI) cha Arusha.
Baada ya huo uchunguzi serikali imekifungia hicho kiwanda kuzalisha na kusambaza dawa aina zote pamoja na kuwasimamisha kazi watendaji wakuu wa MSD akiwemo Mkurugenzi, Meneja udhibiti ubora na afisa udhibiti na uchunguzi unaendelea na kwamba dawa za ARV zinazopatikana kwa sasa ni halisi hivyo ziendelee kutumika.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru