WANAWAKE WASOMI NI MZIGO KWENYE NDOA, HAWAJUI MAPENZI
Posted on
Nov 13, 2012
|
No Comments
Mimi nina marafiki zangu wengi ambao wanalalamika sana
kuhusu wake zao kwamba hawajui mapenzi na hawana muda nao. Kila mmoja nikizidi
kumuuliza anasema mke wake ni graduate! Hili ninalipata hata mimi kwenye ndoa
yangu. Je nyie wanawake, mkisoma ndo kisa cha kutotambua wajibu wenu wa ndoa?
Naona ndoa nyingi zilizotulia ni zile ambazo wanaume wameoa wanawake wenye
elimu kidogo tu, labda Std 7 leaver au form 4 failure. Ukimfungulia kijisaluni
an tailoring mart, na ukimpatia ki Vitz, anaridhika sana na ukirudi home
anakupokea na unajipatia kila kitu kwa starehe! Nawapongeza wenye wake wenye
elimu kiasi. Kama hujaoa, jaribu kuwa na girlfriend mwenye elimu kiasi achana
hawa wasomi ambao ni mizigo!