GWARIDE LA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA UHURU WA TANZANIA
Posted on
Dec 8, 2012
|
No Comments
Kikosi
cha paredi cha Jeshi la wananchi la Tanzania (JWTZ) Kikipita mbele ya
maofisa wa Vyombo vya ulinzi na Usalama wakati wa gwaride la majaribio
la kuadhimisha miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru
ambapo kesho Disemba 9 mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika katika
uwanja huo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
(PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM)
Kikosi cha jeshi la Magereza kikipita mbele ya maofisa hao.
Kikosi cha Bendera kutoka Jeshi la Wananchi la Tanzania JWTZ kikipita.
Kikosi cha Wanamaji kikitembea kwa Mwendo wa Polepole.