SERIKALI INATUMIA KIGEZO GANI KUWALIPA WABUNGE MILLIONI 11 KWA MWEZI?.
Posted on
Dec 8, 2012
|
No Comments
Ni kigezo gani kinatumika kumlipa mbunge ambae kimsingi sifa
yake ya kwanza ni kujua kusoma na kuandika, lakini mshahara na stahiki nyingine
ni m 11 kwa mwezi, na wakati huo huo wanalipa mishahara ya waalimu madakitari
na wataalam wengine mshahara wa laki 2 hadi m 2 au 3 kwa mwezi, ukizingatia
kuwa hakuna mwalimu dakitari mwandisi ambae anaitwa hivyo bila kuwa na taaluma,
je? hii nchi ni ya wanainchi au ya kundi dogo la wahuni wanaojiita wanasiasa?
Ni kweli serikali inawajali wanainchi au wapo kwa ajili ya wanainchi?
Ukizingatia kuwa mshahara kima cha chini ni 170000 wanajamvi nchi yetu hii
tushikamane