NINA MIMBA YA MIEZI 9 NATAKIWA KUSAFIRI KWENDA UKWENI
Posted on
Dec 12, 2012
|
No Comments
Mimi Nina mimba ya Miezi 9 nimebakisha week mbili nijifungue ila mume wangu
analazimishia niende nikajifungulie huko kwao kanda ya ziwa, I thought of
flying ila flights haziruhusu mtu wa type yangu kupanda ndege,so anasema
tutaenda na gari taratibu hadi tufike even if it take us 3 days, Hospital
nimeambiwa nisisafiri coz niko karibia kujifungua,he doesnt want to understand
he think I'm jus making it coz I'm a medical personel 2, Hataki hata twende kwa
specialist wote,wala hajawahi kwenda na mimi clinic,its our first born ,
Nifanyeje?nisafiri tu. kuwaridhisha ila its risk...anataka tusafiri 20th my due
date ni 28th