WATU 25 MBARONI KWA KUTEKA GARI LA MAITI - SUA
Posted on
Dec 11, 2012
|
No Comments
Polisi mkoani Singida. limefanikiwa kuwakamata watu 25 wanatuhumiwa
kuteka gari la Chuo Kikuu cha Sokoine, na kisha kuwapora fedha watu waliokuwa
wanasindikiza maiti iliyokuwa inapelekwa Mkoani Mara. Katika utekaji huo,
jeneze lililokuwa mwili wa Muchari Lyoba, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu
katika chou cha SUA, lilifumuliwa na mwili wa marehemu ukapekuliwa.
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Singida' alisema katika msako mkali unaendelea, mbali na kukamatwa watuhumiwa, pia baadhi ya mali zilizoporwa zikiwemo nguo, kamera, kompyuta pakato (Laptop), na simu zimekamatwa.
Vitu vingine vilivyokamatwa ni pamoja na vitambulisho vya kazi, charger mbili za simu, kadi za Benki aina ya Tembo card, na shilingi 20,500 ziliokotwa katika eneo la tukio. Alisema mafanikio hayo yamechangiwa na ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi.
Alisema baadhi ya watuhumiwa baada ya kugawana sh 19.8 milioni walizopora walianza kunywa pombe hovyo, huku wakijitapa kuwa wakijitapa kuwa wana uwezo mzuri wa kiuchumi.