ICC YAAHIRISHA KESI YA UHURU NA MUTHAURA HADI JULY 9
Posted on
Mar 7, 2013
|
No Comments
Mahakama ya kimataifa ya ICC imeahirisha kesi iliyokuwa inawakabili watuhumiwa wawili nchini Kenya ndugu Uhuru Kenyata na Francis Muthaura hadi pale itakaposikilizwa tena tarehe 9 july 2013.
Wakati huo huo hadi kufikia saa 7:40 ya leo jioni Uhuru Kenyata anaongoza kwa kura 3,134,654 sawa na 51% akifuatiwa na Raila Odinga kwa kura 2,563,286 sawa na asilimia 42.
Wakati huo huo hadi kufikia saa 7:40 ya leo jioni Uhuru Kenyata anaongoza kwa kura 3,134,654 sawa na 51% akifuatiwa na Raila Odinga kwa kura 2,563,286 sawa na asilimia 42.