HUU NDIO MWILI WA MWANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA BAADA YA KUUAWA.
Posted on
Apr 24, 2013
|
4
Comments
Picha ya marehemu Henry Koga baada ya kuchomwa kisu na
kufariki hapo hapo jana usiku katika chuo cha uhasibu
Arusha.....
Mwanafunzi huyo Alikuwa Masomoni
Mida Ya Usiku Na Alipomaliza Aliondoka Na Kuelekea Maeneo Ya Esami.
Kabla Hajafika Eneo La Malazi (Hostel) alipigiwa Simu na Mwenzake
amsubiri Ili Waende Wote Hostel.
Marehemu Henry katika enzi za uhai wake....
Wakati anamsubiri Rafiki Yake Kwenda Hostel, Kuna Bajaj Ilifika Eneo
Hilo Na Watu Hao Wasiojulikana Wakataka Pesa Kutoka Kwa...
Mwanafunzi huyo Alikuwa Masomoni
Mida Ya Usiku Na Alipomaliza Aliondoka Na Kuelekea Maeneo Ya Esami.
Kabla Hajafika Eneo La Malazi (Hostel) alipigiwa Simu na Mwenzake amsubiri Ili Waende Wote Hostel.
Wakati anamsubiri Rafiki Yake Kwenda Hostel, Kuna Bajaj Ilifika Eneo
Hilo Na Watu Hao Wasiojulikana Wakataka Pesa Kutoka Kwa Mwanafunzi
Huyo...Wakati wakiendelea kuzozana, rafiki yake naye alifika.....
Majibu Ya Wanafunzi Hao Hayakuwafurahisha Watu Hao Na Ndio
Walipochomoa Kisu Na Kumchoma Mmoja wa Vijana Hao Tumboni Na Shingoni
na Kupoteza Maisha Hapo Hapo....
Mauaji hayo yamesababisha vurugu kubwa chuoni hapo zilizopelekea kupigwa mawe mkuu wa mkoa
Mauaji hayo yamesababisha vurugu kubwa chuoni hapo zilizopelekea kupigwa mawe mkuu wa mkoa
Du jamani arusha KUNA wavuta bangi sana ..poleni kwa msiba wafiwa
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema peponi
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen
ReplyDelete